Description
Swiss Collagen Body Cream ni mafuta maalum kwa ajili kwa ngozi aina zote haswa wajawazito na uliyetoka kujifungua ni must have??? ◾️Mafuta mazuri ya kunyoosha ngozi kama rula,yanamaliza mabonde mabonde yote mwilini yanayosababiswa na unene na kulegea kwa ngozi ◾️Yanasaidia ya kufifisha na kumaliza michiriz aina zote ◾️unaweza tumia mafuta haya kama base yatakusaidiaa kuzuia michirizi inayosababishwa na cream kali, ujauzito huku unaendelea na mafuta yako mengne ◾️Pia mazuri sana kwa yenye ngozi kavu mana yanakupa moisture all day haswa mama kijacho ◾️Yanakaza Ngozi yote iliyolegea legea haswa sehem za tumboni, kwenye Maziwa na mapajani na mikononi ◾️Yanaipa ngozi ka Tone kazuri na una glow vizuri sana ◾️kama unataka kung’aa sana bas unaongeza serum yoyote na mambo yanakuwa bull bull ◾️Kopo kubwa kabisa la nusu lita na zaid