Description
shamba linauzwa lipo Kijiji Cha mfriga ktk kata ya mfriga tarafa ya lupembe mkoani njombe Lina ukubwa wa eka 50 kila eka ni tsh laki moja na Elfu hamsini(150,000/=) linafaa kwa kilimo Cha parachichi, miti ya mbao na mazao mengine maji ya mto yapo karibu kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929