26.09.2022Dar es Salaam
Details
Description
Ipo Mbezi Malamba Mawili ina vyumba vitatu vya kulala ipo ndani ya fensi na ina document za serikali za mitaa na Eneo lake lina Ukubwa wa 30/38 Ipo mtaa mzuri sana na ipo kalibu na barabara kalibuni sana.
Chat with Emmanuel M.
Call Emmanuel M.